hujambo msomaji wa makala ya jicholetu karibu katika mwendelezo wa makala ya ndege aina mbalimbali na leo tunajikita katika ndege aina ya kunguru,usichoke kusoma makala hii adhimu.
kunguru ni ndegewakubwa kiasi wa familia ya Corvidae.
Spishi nyingine huitwa
vinubi. Wanatokea mabara yote isipokuwa
Antakitiki .
. Spishi nyingi ni nyeusi au nyeusi pamoja na rangi ya nyeupe, kijivu au
kahawa; nyingine zina rangi mbalimbali kama buluu, pinki n.k
. Hula nusra kila kitu:
wanyama na ndege wadogo,
wadudu, mizoga,
matunda,
nafaka n.k. Hulijenga tago lao kwa vijiti juu ya mti au jabali.
Spishi nyingine huyajenga matago kwa makundi. Jike huyataga
mayai 3-10.
Baadhi ya kunguru huonwa kuwa ni waharibifu na tunajua kwamba kunguru mkubwa kaskazi (
Corvus corax), kunguru mkubwa wa Australia (
Corvus coronoides) na kunguru mlamizoga (
Corvus corone)
wanaweza kuua wanakondoo dhaifu
. Lakini mara nyingi hula mizoga
iliyouawa karibuni kwa namna nyingine, ugonjwa kama Wengine wanaweza
kuiga sauti ya binadamu, lakini hawawezi kuongea kama kasuku.
Kunguru
waliofundishwa kuongea, huonwa kama sehemu muhimu ya
Asia ya Mashariki,
kwa sababu kunguru huonwa kama alama ya bahati.
Baadhi ya watu wanafuga
kunguru kama wanyama wa nyumbani. Japo binadamu hawawezi kuwatambua
kunguru, kunguru wanaweza kuwatambua watu na kuelewa kwamba hawa ni watu
wabaya au la.
.
Kwa tamaduni nyingi za kienyeji za kaskazi ya mbali sana kunguru,
spishi kubwa hasa, wamekuchwa kama viumbe vya kirobo au miungu.
Katika
Afrika Waxhosa wa
Afrika Kusini,
waliwachukulia kunguru kuwa ni ndege wa Mungu
. Hadithi ya kixhosa
kuhusu shujaa aitwaye Gxam inasimulia kwamba kunguru walirudishia shujaa
aliyefanywa upofu uwezo wake wa kuona.
Hadithi nyingine ya Wasara wa
Chadi na
Sudani
inasimulia kwamba Mungu mkuu, Wantu Su, alimpa mpwa wake wa kiume Wantu
ngoma iliyokuwa ndani yake na mifano ya kila kitu kilichokuwamo
mbinguni.
. Wantu alitarajiwa kuwapatia binadamu vitu hivi, lakini alikuwa
akishuka kamba iliyounga mbingu na dunia, kunguru alipiga ngoma.
Ngoma
akaanguka duniani, akavunjika na akatawanya wanyama,
samaki na
mimea duniani
koteBaadhi ya kunguru huonwa kuwa ni waharibifu.
Tunajua kwamba kunguru mkubwa kaskazi (
Corvus corax), kunguru mkubwa wa Australia (
Corvus coronoides) na kunguru mlamizoga (
Corvus corone)
wanaweza kuua wanakondoo dhaifu.
Lakini mara nyingi hula mizoga
iliyouawa karibuni kwa namna nyingine, ugonjwa kama Wengine wanaweza
kuiga sauti ya binadamu, lakini hawawezi kuongea kama kasuku.
Kunguru
waliofundishwa kuongea, huonwa kama sehemu muhimu ya
Asia ya Mashariki,
kwa sababu kunguru huonwa kama alama ya bahati.
Baadhi ya watu wanafuga
kunguru kama wanyama wa nyumbani
. Japo binadamu hawawezi kuwatambua
kunguru, kunguru wanaweza kuwatambua watu na kuelewa kwamba hawa ni watu
wabaya au la.
Kwa tamaduni nyingi za kienyeji za kaskazi ya mbali sana kunguru,
spishi kubwa hasa, wamekuchwa kama viumbe vya kirobo au miungu. Katika
Afrika Waxhosa wa
Afrika Kusini
waliwachukulia kunguru kuwa ni ndege wa Mungu.
Hadithi ya kixhosa
kuhusu shujaa aitwaye Gxam inasimulia kwamba kunguru walirudishia shujaa
aliyefanywa upofu uwezo wake wa kuona.
Hadithi nyingine ya Wasara wa
Chadi na
Sudani
inasimulia kwamba Mungu mkuu, Wantu Su, alimpa mpwa wake wa kiume Wantu
ngoma iliyokuwa ndani yake na mifano ya kila kitu kilichokuwamo
mbinguni.
Wantu alitarajiwa kuwapatia binadamu vitu hivi, lakini alikuwa
akishuka kamba iliyounga mbingu na dunia, kunguru alipiga ngoma.
Ngoma
akaanguka duniani, akavunjika na akatawanya wanyama,
samaki na
mimea duniani kote.
kama viumbe
wote walivyo na tabia hivohivo na kunguru anatabia yake,Kunguru
anamaamuzi ya haraka sana, na anamacho yenye uwezo mkubwa wa
kuona, pia kunguru anaonekana kuwa na ujasiri mkubwa hamwogopi binadamu
tofauti na ilivyo kwa ndege wengine
.
Kunguru hutoa milio mbalimbali. Suala kwamba kuna mawasiliano ya kunguru
ni aina ya lugha ni mjadala mkubwa mpaka leo.
Kunguru pia wamejifunza
kuitika milio ya wanyama wengine na tabia hii hubadilika kwa misimu
kadhaa.kama viumbe
wote walivyo na tabia hivohivo na kunguru anatabia yake,Kunguru
anamaamuzi ya haraka sana, na anamacho yenye uwezo mkubwa wa
kuona, pia kunguru anaonekana kuwa na ujasiri mkubwa hamwogopi binadamu
tofauti na ilivyo kwa ndege wengine.
Kunguru hutoa milio mbalimbali. Suala kwamba kuna mawasiliano ya kunguru
ni aina ya lugha ni mjadala mkubwa mpaka leo.
Kunguru pia wamejifunza
kuitika milio ya wanyama wengine na tabia hii hubadilika kwa misimu
kadhaa.
Milio ya kunguru ni tata na migumu kuelewa, na milio yao
hutofautiana kwa spishi tofauti na hasa ugumu wa kujifunza milio huja
pale ambapo inafahamika kuwa kunguru wanauwezo wa kusikia sauti ndogo
sana ambazo binadamu hawezi kuzisikia.Hadi kufikia hapo makala ya jicho letu kwa siku ya leo imefikia tamati nikusihi usikose mwendelezo wa makala hii kuhusu ndenge wa aina mbalimbali hapa ulimwenguni.
.