Archive for January 2017

JE UNAFAHAMU KUHUSU NDEGE AINA YA KUNGURU

hujambo msomaji wa makala ya jicholetu karibu katika mwendelezo wa makala ya ndege aina mbalimbali  na leo tunajikita katika  ndege aina ya kunguru,usichoke kusoma makala hii adhimu.



kunguru ni ndegewakubwa kiasi wa familia ya  Corvidae. Spishi nyingine huitwa vinubi. Wanatokea mabara yote isipokuwa Antakitiki .
. Spishi nyingi ni nyeusi au nyeusi pamoja na rangi ya nyeupe, kijivu au kahawa; nyingine zina rangi mbalimbali kama buluu, pinki n.k
. Hula nusra kila kitu: wanyama na ndege wadogo, wadudu, mizoga, matunda, nafaka n.k. Hulijenga tago lao kwa vijiti juu ya mti au jabali.
 Spishi nyingine huyajenga matago kwa makundi. Jike huyataga mayai 3-10.
Baadhi ya kunguru huonwa kuwa ni waharibifu na tunajua kwamba kunguru mkubwa kaskazi (Corvus corax), kunguru mkubwa wa Australia (Corvus coronoides) na kunguru mlamizoga (Corvus corone) wanaweza kuua wanakondoo dhaifu
. Lakini mara nyingi hula mizoga iliyouawa karibuni kwa namna nyingine, ugonjwa kama Wengine wanaweza kuiga sauti ya binadamu, lakini hawawezi kuongea kama kasuku.
 Kunguru waliofundishwa kuongea, huonwa kama sehemu muhimu ya Asia ya Mashariki, kwa sababu kunguru huonwa kama alama ya bahati.

 Baadhi ya watu wanafuga kunguru kama wanyama wa nyumbani. Japo binadamu hawawezi kuwatambua kunguru, kunguru wanaweza kuwatambua watu na kuelewa kwamba hawa ni watu wabaya au la.
.
Kwa tamaduni nyingi za kienyeji za kaskazi ya mbali sana kunguru, spishi kubwa hasa, wamekuchwa kama viumbe vya kirobo au miungu.
 Katika Afrika Waxhosa wa Afrika Kusini, waliwachukulia kunguru kuwa ni ndege wa Mungu
 . Hadithi ya kixhosa kuhusu shujaa aitwaye Gxam inasimulia kwamba kunguru walirudishia shujaa aliyefanywa upofu uwezo wake wa kuona.
 Hadithi nyingine ya Wasara wa Chadi na Sudani inasimulia kwamba Mungu mkuu, Wantu Su, alimpa mpwa wake wa kiume Wantu ngoma iliyokuwa ndani yake na mifano ya kila kitu kilichokuwamo mbinguni.
. Wantu alitarajiwa kuwapatia binadamu vitu hivi, lakini alikuwa akishuka kamba iliyounga mbingu na dunia, kunguru alipiga ngoma.
 Ngoma akaanguka duniani, akavunjika na akatawanya wanyama, samaki na mimea duniani
koteBaadhi ya kunguru huonwa kuwa ni waharibifu.
Tunajua kwamba kunguru mkubwa kaskazi (Corvus corax), kunguru mkubwa wa Australia (Corvus coronoides) na kunguru mlamizoga (Corvus corone) wanaweza kuua wanakondoo dhaifu.
 Lakini mara nyingi hula mizoga iliyouawa karibuni kwa namna nyingine, ugonjwa kama Wengine wanaweza kuiga sauti ya binadamu, lakini hawawezi kuongea kama kasuku.
 Kunguru waliofundishwa kuongea, huonwa kama sehemu muhimu ya Asia ya Mashariki, kwa sababu kunguru huonwa kama alama ya bahati.





 Baadhi ya watu wanafuga kunguru kama wanyama wa nyumbani
. Japo binadamu hawawezi kuwatambua kunguru, kunguru wanaweza kuwatambua watu na kuelewa kwamba hawa ni watu wabaya au la.
Kwa tamaduni nyingi za kienyeji za kaskazi ya mbali sana kunguru, spishi kubwa hasa, wamekuchwa kama viumbe vya kirobo au miungu. Katika Afrika Waxhosa wa Afrika Kusini waliwachukulia kunguru kuwa ni ndege wa Mungu.
 Hadithi ya kixhosa kuhusu shujaa aitwaye Gxam inasimulia kwamba kunguru walirudishia shujaa aliyefanywa upofu uwezo wake wa kuona.
 Hadithi nyingine ya Wasara wa Chadi na Sudani inasimulia kwamba Mungu mkuu, Wantu Su, alimpa mpwa wake wa kiume Wantu ngoma iliyokuwa ndani yake na mifano ya kila kitu kilichokuwamo mbinguni.
 Wantu alitarajiwa kuwapatia binadamu vitu hivi, lakini alikuwa akishuka kamba iliyounga mbingu na dunia, kunguru alipiga ngoma.
Ngoma akaanguka duniani, akavunjika na akatawanya wanyama, samaki na mimea duniani kote.
 kama viumbe wote walivyo na tabia hivohivo na kunguru anatabia yake,Kunguru anamaamuzi ya haraka sana, na anamacho yenye uwezo mkubwa wa kuona, pia kunguru anaonekana kuwa na ujasiri mkubwa hamwogopi binadamu tofauti na ilivyo kwa ndege wengine
.
 Kunguru hutoa milio mbalimbali. Suala kwamba kuna mawasiliano ya kunguru ni aina ya lugha ni mjadala mkubwa mpaka leo.
 Kunguru pia wamejifunza kuitika milio ya wanyama wengine na tabia hii hubadilika kwa misimu kadhaa.kama viumbe wote walivyo na tabia hivohivo na kunguru anatabia yake,Kunguru anamaamuzi ya haraka sana, na anamacho yenye uwezo mkubwa wa kuona, pia kunguru anaonekana kuwa na ujasiri mkubwa hamwogopi binadamu tofauti na ilivyo kwa ndege wengine.
 Kunguru hutoa milio mbalimbali. Suala kwamba kuna mawasiliano ya kunguru ni aina ya lugha ni mjadala mkubwa mpaka leo.
 Kunguru pia wamejifunza kuitika milio ya wanyama wengine na tabia hii hubadilika kwa misimu kadhaa.
 Milio ya kunguru ni tata na migumu kuelewa, na milio yao hutofautiana kwa spishi tofauti na hasa ugumu wa kujifunza milio huja pale ambapo inafahamika kuwa kunguru wanauwezo wa kusikia sauti ndogo sana ambazo binadamu hawezi kuzisikia.Hadi kufikia hapo makala ya jicho letu kwa siku ya leo imefikia tamati nikusihi usikose mwendelezo wa makala hii kuhusu ndenge wa aina mbalimbali hapa ulimwenguni.


.









- Copyright © FURAHA MEDIA - Blogger Templates - Powered by Blogger - Designed by Johanes Djogan -